Msaada juu ya mashine ya laserjet professional m1130 mfp series

Msaada juu ya mashine ya laserjet professional m1130 mfp series

Joined
Aug 26, 2012
Posts
56
Reaction score
9
Ndugu wa JF nina mashine yangu aina HP LASERJET PROFESSIONAL M1130 MFP SERIES ambayo ina print, scanning na copier. Mashine hii ni mpya na niliifanyia installation vizuri tu! Lakini ku print na kutoa copy inagoma but scanning inakubali. Pia nikiwasha inatoa alarm kuwa product ina tatizo na pia inatoa alarm kuwa wino ni kidogo na wakati mashine ni mpya ambayo nimeinunua pamoja na wino ukiwemo! Naombeni msaada jamani maana mashine ni mpya kabisa.
 
kwani haina warranty? kama vipi ipeleke kwa muuzaji na itakuwa vizuri kama utabeba na lap top yako ili aone, perhaps ni kweli kuwa hiyo product yako ina matatizo ( manufacture defect).
 
Back
Top Bottom