Msaada Juu Ya Mail Account Ya Yahoo.

Mawaiba

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
417
150
Akhsalaam aleiko wakuu wa jamvi hili. Nina tatizo la kufungua page yangu ya e-mail (Yahoo Mail). Kama muda wa wiki mbili au zaidi najaribu ku-sign in lakini napewa message kwamba eti kuna server error. Naomba kama kuna mtu anaejua namna ya kuondokana na tatizo hili anisaidie. Natanguliza shukrani zangu kwenu, asanteni.
 
Mkuu, hata mimi naexpiriens tatizo hilo. Plz kina chiefmkwawa and other like minded proffesionals, tusaidieni!
 
Hamieni gmail jamani! Less junk, so convenient!
Jana nilifungua account yangu ya yahoo ambayo sijaitumia zaidi ya 2 months haikuwa na tatizo.
 
Hata mimi! Mimi nikijaribu kufungua kupitia simu naambiwa vivyo hivyo. Nimejaribu ktumia kompyuta, nikaambiwa niihamishie kwa server centre wa India, nikafanya hivyo. Nikifungua kupitia kompyuta inafunguka ila KWA SIMU HASIFUNGUKI.
 
I think gmail can be the best altenative. Thanx your contributions.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom