Sifuri wa zero
Member
- Apr 14, 2017
- 14
- 13
Hello ndugu zangu,laptop yangu inatatizo la kujizima hasa inapochemka baada ya kuwa imefanya kazi sana.Sasa hivi naona tatizo linazidi haiwezi kukaa hata lisaa limoja bila kujizima tofauti na zamani ilikua inaweza kukaa hata wiki mbili bila kuzima.Nimejaribu kuuliza juu ya tatizo wapo waloniambia processor imechoka,wengine fen ndo tatizo,sasa sijaelewa kipi ni jibu.Naomba nililete hili mbele yenu,nijue tatizo na ukubwa watatizo kama waweza tibika.....Shukrani sana nduguzanguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app