Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,240
- 4,743
- Thread starter
- #21
Jamani, on a serious note gari za it ni gari gani? Mimi nafikiri ni ninapoziona zimeandikwa it maana yake imetoka bandarini na inaenda kuwekwa namba. Kwa maelezomyenu wajuvi ni kama vile yaaani na zenyewe zinapigaga route kwenda na kurudi.
IT means in transit. ni gari ambazo zinaagixwa nje kupitia bandari ya dar na kupelekwa,malawi,congo zambia etc na zinakuwa hazijalipiwa ushuru, ja hazipigi route bali zinaenda kuuzwa huko kwao au inakuwa ni mtu kaagiza. It ni jina lilolozoeleka tu. hapo mkuu umenielewa?