Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,238
- 4,740
Heshima mbele wanabodi.
Niko Dar kwenye pilikapilika ambazo nategemea kuzimaliza kesho Alhamis mchana saa nane. Nataka nigeuze kwenda makambako ila nataka nipande gari za IT ili nifike Ijumaa asbh, naombeni msaada wapi naweza kuzipata hapa Dar na naweza kwenda kupandia wapi,au kama kuna mwenye no za suka yoyote anaaendesha gari za IT anisaidie.Lakini pia ushauri kama upo nipeni maana ni first time nataka nipande hizi gari za IT
.
Natanguliza shukrani.