Habari wakuu,
Kuna mdogo wangu amechukua first degree ya nursing na amepata GPA ya 3.6, akafanya masters ya public health akapata GPA ya 3.8, baadae akafanya PhD katika reproductive health.
Kwa sasa anataka kuomba chuo akafundishe undergraduate nursing. Je kwa qualifications hizo anaweza kukubalika?
Asante.