Habari zenu wanajamvi, nina samsung s2 inagoma kutuma text msg kwenye namba iliyoanza na +255 ila kwenye namba ya simu inayoanza na '0' inatuma kama kawaida.. msaada wenu tafadhari hii inasababishwa na nini...thanks in advance
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.