Elongo Junior
Member
- Apr 21, 2018
- 55
- 30
kuna kitu unakosea kujaza au mwezi au mwaka unaandika kimakosaWana JF habari za majukumu. NIMESAJILI huduma ya salary slip portal kupitia MOF. Hatua zote za mwanzo huduma ina kamilika, tatizo napofikia hatua ya kujaza mwaka ninaohitaji slip. Hapo niki click VIEW SALARY SLIP yanakuja maandishi, "THE FIELD FISCAL YEAR MUST BE A NUMBER" na inafeil kuonesha slip. Naomba mnisaidie wana JF Nifanyeje katika hatua hii
Samahani. Labda nakosea sababu mm na andika mwaka mfano 2018Fiscal number umezingatia?
kuna kitu unakosea kujaza au mwezi au mwaka unaandika kimakosa
chagua mwezi kuanzia July 2017 na kuendelea na si kabla ya hapo!Samahani. Labda nakosea sababu mm na andika mwaka mfano 2018
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mwambie HR wako akupe mkuuNisaidieni na Mimi,kwenye ku register kipengele Cha code na sub code nashindwa,sizifamu.Nawezaje kuzifahamu?
Vote 5007
Sub vote 78J11