Msaada Juu ya Fee & Possible Loan Amount

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,478
Reaction score
27,186
Wakuu Habari Zenu!
Wakuu Katika GuideBook ya TCU Kuna Kitu Bado Sijakifahamu.
Kwa mfano ukiangalia Chuo Kama CUHAS pana Muongozo huu:-

Bachelor Of Pharmacy:
Tuition Fee: 3,700000
Possible Loan Amount: 3,100000
Halafu Kwa Chini Kabisa Utakuta Maneno haya:

"Possible loan amount is subject to means testing"

Sasa Wakuu Kwavile mimi ni mgeni wa mambo haya! Bado sijaelewa Chochote hapo Kuhusu Hiyo Tuitions Fee Kuwa Tofauti na Loan Amount, Na vile vile hayo maneno ya hapo chini wakusudiwa ni kina nani na kivipi?
 
Hiyo priority course , ukichaguliwa utapewa school fee Tsh 3,100,000 na utaongezea Tsh 600,000... Huwa wana calculate wakupe mkopo kiasi gani endapo umechaguliwa course ambayo ni non- priority
 
So kwa zile faculty zilizoandikwa non priority mfano bachelor of arts with education but possible loans zimeandikwa one million kwa duce sasa hapo Cjaelewa..plz naomba kuelezewa
 
Hapo ndio zitafanyika calculation ili ijulikane utapewa school fee kiasi gani , kwa kuangalia shule ulizo soma huko nyuma ili waone unaweza kujilipia kiasi gani na unahitaji kupewa school fee kiasi gani !!
 
Oooooh kumbe... but mfano me nimesoma government from print school to advance level... so minimum percentage inaweza kua ngp please
 
Back
Top Bottom