Msaada juu ya fao la kujitoa PPF

Msaada juu ya fao la kujitoa PPF

ame2012

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
64
Reaction score
20
Niliajiliwa na kampuni moja binafsi kwa kipindi cha mwaka mmoja kabla ya kuondoka na kujiajiri mwenyewe. Sasa leo nimeenda kuangalia statement yangu na kuona kuna kiasi flani kizuri tu.

Nikaomba form nijaze ili nichukue changu nikaambiwa haiwezekani hadi nifikishe miaka 55. Haya ni ya kweli?? Maana nilikuwa kwenye private sector sio ajira za serikali amabazo ni permanent.
 
We uko Tanzania ipi hivi kelele zote znazopigwa ulikuwa unaangalia wapi.
 
We uko Tanzania ipi hivi kelele zote znazopigwa ulikuwa unaangalia wapi.
inabidi nicheke tu. Sikuwa na hakika kama bunge lilipitisha mkuu so nilienda with confidence pale PPF. Nipo Tanzania hii hii ambayo inanilazimu kutumia kwa uangalifu sana mitandao ya kijamii.
 
Back
Top Bottom