Msaada Juniper

joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
16,513
34,435
Nilikuwa najaribu kuconfigure MPLS network L3 kwa kutumia image ambaye nairun katika GNS3 lakini Kuna baadhi ya command zina kataa, kwa hiyo naomba mnisaidie kama Kuna version ya image nyingine ambaye ina support MPLS, naomba mnisaidie
 
Did you get a solution for this? I assume ulikua unatumia Olive images, look for vMX au vSRX, ila hata Olive 12.x inafanya mpls l3vpns
 
Back
Top Bottom