GANA BANKS JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 614 Reaction score 888 Feb 23, 2023 #1 wasaaalamu wakuu, Naomba kufahamu, nini chanzo cha kupasuka kwa taa ya ndani kwenye jokofu, na baadae kuanza kupiga shoti kwa ndani na pia haiungurumi tena? Aina ya jokofu: LG(2nd hand) Naomba kuwasilisha wakuu
wasaaalamu wakuu, Naomba kufahamu, nini chanzo cha kupasuka kwa taa ya ndani kwenye jokofu, na baadae kuanza kupiga shoti kwa ndani na pia haiungurumi tena? Aina ya jokofu: LG(2nd hand) Naomba kuwasilisha wakuu