msaada;jinsi yakutumia sim card kwenye hii pc

msaada;jinsi yakutumia sim card kwenye hii pc

Vangiporini

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
328
Reaction score
319
ninatumia pc aina ya dell na niifungua battery kuna sehemu ya ku_insert sim card,naomba nijulishwe namna ya kutumia maana niliiweka na kuwasha pc lakini sikuona notification yoyote.....
 
nenda website ya dell nenda sehemu ya kudownload driver chagua aina ya pc yako utaziona driver za kueka sim card
 
ninatumia pc aina ya dell na niifungua battery kuna sehemu ya ku_insert sim card,naomba nijulishwe namna ya kutumia maana niliiweka na kuwasha pc lakini sikuona notification yoyote.....

Pc nyingi zinakuwa zimekufa au zimeondolewa hizo builtin modem so jaribu ushauri wa chief-mkwawa ukiona bila bila ujue haiko active hiyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom