Wakuu habari zenu ebwana kuna mtu(mpenzi wangu) nataka nipate details zake ana naona kuna mabadiliko makubwa na kwa kuwa ni mjanja nahisi anachat na kidume kingine kwa facebook wakati mimi ndio namuweka town so nataka nimpige kibuti nikiwa na strong reason hawatumii simu coz kuogopa ninaweza kuwanasa bali wanatumia facebook nimechunguza anakuwa busy sana na facebook akiwa kazini ndio muda anaotumia kuwasiliana na huyo njemba so wadau nisaidieni jinsi ya kuhack account yake coz kama kuna mtu ana software ya kuhack naomba unitumie
mimi ni white hacker sina madhara wakuu naomba msaada wenu coz hamjui ninavyoumia...
Naumia sana
huwezi ku hack facebook..... nilishangaa wale jamaa wa sugu vinega wanadai ccount imekuwa hacked no one can do that esp. TZ.... kama unataka ku login kwenye facebook ya mtu ... labda awe amesahau ku log out! sanasana wale watu wa automatic login ...
man - up bro!!! no need to hack, just let her know you doubt her ( may be you also have mipango ya kando), usimtafutie sababu kama unahisi huna future nae na huna mpango nae, mweleze tu ki-utu mzima.