Msaada: jinsi ya kuweka popads kwenye wordpress yangu

Joined
Aug 4, 2017
Posts
49
Reaction score
34
Jioni njema Wadau popote mlipo,

Nimekubaliwa kuweka popads kwenye wordpress yangu ila nimeshindwa jinsi ya kuweka codes walizonipatia kwenye editor/header php,

Tafadhali naomba mwenye ufahamu wa CODES anisaidie kuelewa jinsi ya kukamilisha zoezi Tafadhali naomba mwenye ufahamu wa CODES anisaidie kuelewa jinsi ya kukamilisha zoezi hili.
 
tumia hii plugin
Insert Headers and Footers
 
Jioni njema Wadau popote mlipo,

Nimekubaliwa kuweka popads kwenye wordpress yangu ila nimeshindwa jinsi ya kuweka codes walizonipatia kwenye editor/header php,

Tafadhali naomba mwenye ufahamu wa CODES anisaidie kuelewa jinsi ya kukamilisha zoezi Tafadhali naomba mwenye ufahamu wa CODES anisaidie kuelewa jinsi ya kukamilisha zoezi hili.
mkuuu vp ulikamilisha?
 
Back
Top Bottom