Habari zenu wanaJF? Mimi ni mgeni hapa JF.
01. NINAOMBA KUELEKEZWA JINSI YA KUWEKA PICHA HAPA JF.
02. Na JINSI YA KUUNGANISHA LINK JF na mitandao mingine.
03. Pia JINSI YA KUNGANISHA Thread mpya na KU-LINK na Thread ya ZAMANI.
*Ninatumia Simu aina ya NOKIA 5630d-1
Natanguliza shukurani kwa watakao nisaidia. Asanteni.