Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,045 15,380 Sep 11, 2018 #1 Habarini Mafundi. Kuna hizi bajaj (TOYO) zinazochajiwa kwa umeme, Nahitaji kubadilisha mfumo ili iwe inatumia Mafuta ya petrol au diesel. Msaada wenu ni wa muhimu sana
Habarini Mafundi. Kuna hizi bajaj (TOYO) zinazochajiwa kwa umeme, Nahitaji kubadilisha mfumo ili iwe inatumia Mafuta ya petrol au diesel. Msaada wenu ni wa muhimu sana
Black Sniper JF-Expert Member Dec 10, 2013 28,493 45,832 Sep 13, 2018 #3 Nafikiri ni bora ukabadilisha kuwa inatumia gas Maana ukirudi kwenye fuel gharama ni zaidi Tafuta wataalamu wakubadilishie mfumo
Nafikiri ni bora ukabadilisha kuwa inatumia gas Maana ukirudi kwenye fuel gharama ni zaidi Tafuta wataalamu wakubadilishie mfumo