MSAADA: Jinsi ya kuweka Petrol/ Diesel Engine kwenye Bajaj inayotumia umeme

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,026
15,316
Habarini Mafundi.

Kuna hizi bajaj (TOYO) zinazochajiwa kwa umeme, Nahitaji kubadilisha mfumo ili iwe inatumia Mafuta ya petrol au diesel. Msaada wenu ni wa muhimu sana
IMG-20180910-WA0003.jpg
IMG-20180910-WA0006.jpg
 
Nafikiri ni bora ukabadilisha kuwa inatumia gas
Maana ukirudi kwenye fuel gharama ni zaidi
Tafuta wataalamu wakubadilishie mfumo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom