Uneweza kubadilisha gari iliyokufa engine ya mafuta kuweka inayotumia umeme

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Hizi engine za umeme ni zaidi ya engine za mafuta. Nimejaribu kufatilia makala mbali mbali kupitia Youtube watu wanavyobadili magari ya zamani au kujitengenezea kama kaka yetu Masoud kipanya.

Wanabadilisha injini na kuzifunga kwenye magri yao na kuziongezea ubora zaidi.

Ukikuta gari imekufa injini usiogope kwa nyie mafundi haijalishi ni ipi.

Injini hizi zinategemea kwa jinsi zilivotengenezwa na zengine zina gearbox.

wadau embu tusanuke.

IMG_0677.jpg

IMG_0678.jpg

IMG_0679.jpg

IMG_0680.jpg
 
Hizi engine za umeme ni zaidi ya engine za mafuta. Nimejaribu kufatilia makala mbali mbali kupitia Youtube watu wanavobadili magari ya zamani au kujitengenezea kama kaka yetu Masoud kipanya.

Wanabadilisha injini na kuzifunga kwenye magri yao na kuziongezea ubora zaidi.

ukikuta gari imekufa injini usiogope kwa nyie mafundi ijalishi ni hipi.

injini hizi zinategemea kwa jinsi zilivotengenezwa na zengine zina gearbox.

wadau embu tusanuke.

View attachment 2467737
View attachment 2467738
View attachment 2467740
View attachment 2467741
Sasa tumeanza kuwaza kama watu na sio kama zombie wa ccm
 
Hata kwa hizi hzii two phase za majumbani?

Vp inachukua masaa mangapi hadi full charge

Sijajua ila ina kifaa maalumu kuweza kubadilisha umeme ukaonekana 3 phase.

Kuna kipindi nakumbuka miaka 2009 pale gerezani walikuwa wanatengeneza mashine ambazo unachaji na bettry za dry zile za minara umeme ukikatika ndio zinawasha jesho hata jiko la umeme lile kubwa.
Inazidi hata jenerator
 
Back
Top Bottom