Wape na number ya simu uone wanavyokera!! What do You know about SBT ndo swali lao kila siku.Nifanyeje ili niweze kuwablock o mwingine, yaani!
Naombeni nisipate email za hawa jamaa
Natumia yahoo mkuu. Kwenye simu nadhani nimetibu maana hawanipigii tena simu. Nilimtukana tusi moja moja tu kwa kiingereza halafu yakafuata kwa kiswahili na kisukuma. Najua hajui kiswahili au kisukuma ila ujumbe aliupataUnatumia google au yahoo? Hata nami walikuwa wananikera mno (nilikosea hadi nikawapa namba zangu) ila nimewakomesha
Natumia yahoo mkuu. Kwenye simu nadhani nimetibu maana hawanipigii tena simu. Nilimtukana tusi moja moja tu kwa kiingereza halafu yakafuata kwa kiswahili na kisukuma. Najua hajui kiswahili au kisukuma ila ujumbe aliupata
Nisaidie mkuu kwenye email
Nipe hatua jinsi ya kutengeneza hiyo filter mkuu. Yaani wakati mwingine inaingia email unadhani ya kuitwa intavwi unakutakana na STB Japan, inakera
Acha kabisa. Halafu mi sidhani kama hao ni wajapan, maana hata majina yao hayafanani na wajapan