Msaada: Jinsi ya kuunganisha internet kwenye tablet (ftg-tech).

Msaada: Jinsi ya kuunganisha internet kwenye tablet (ftg-tech).

Naipuli

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
266
Reaction score
110
Wataalamu wangu wa hapa JF,
KIchwa cha habari hapo juu kinahusika sana.
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuunganisha internet kwa USB MODERM, kwa upande wa wireless haina shida kabisa.
Natanguliza shukran zangu.
 
Mbona kimya ndugu zangu, msaada wetu tafadhali.
 
Back
Top Bottom