msaada:jinsi ya kuunda wifi yako kwa computer au simu

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
wakuu nadhani mmeelewa heading,nina tablet yangu n ya toshba inasupport wifi tu na ina kijisehemu cha kuingiza modem au flash ila haisapot modem nachotaka ni mnishaur nifaneje au nitmie laptop kufungua wifi na ntafunguaje wifi
 
huwa wi fi ni kwa ajili ya internet je ulishajaribu kwenda maeneo ambayo hii Wi-Fi ipo kama mlimani city hivi..

jaribu vodacom naona wanakifaa nadhani kinaweza kukusaidia kwa hilo..
 
hapo imabd uwe na smartphone... Hasa androids au symbian.. Kwenye balackbery im not sure...!! Kama unatumia symbian nenda ovi store.. Then tafuta app za hotspot.. Ww search neno hotspot.. Zpo kadhaaa ila nakushauri uchukue joiku hotspot... Hapo utaweza share network na other device... Kama unatumia androids nyingi huwa znakua na built in hotspot if im not mistaken.. Nenda kwenye network setings angalia kuleeeee
 
Back
Top Bottom