AMB
JF-Expert Member
- May 31, 2013
- 206
- 65
Habari zenu wana jamvi...
Mwenzenu nimekuwa na kiu ya muda mrefu ya kutaka kutumia whatsapp kwenye PC yangu lakini nimeshindwa kufanikisha jaribio hilo hivyo naomba mwenye ujuzi anipe mwongozo kwani whatsapp imekuwa ni njia rahisi ya mawasiliano japo sitaweza kupiga simu lakini angalau niwe hewani kwa nyakati ambazo nakuwa sina hand set...