Msaada jinsi ya kutumia torrent

Msaada jinsi ya kutumia torrent

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Naombeni Msaada jinsi ya kutumia hii App.Cjawahi kuitumia na cjui inatumikaje. mwenye anajua jinsi gani nitaweza kudownload movie au app yoyoke kutoka torrent anielekeze tafadhar
 
torrent software zipo nyingi. ila best kwangu ni bittorent.
nenda google kisha search utaipata.ukishadownload iweke (install) ktk pc yako.
baada ya hapo nenda website zinatoa huduma ya download kwa torrent kama vile www.kickass.to
isoHunt | the BitTorrent & P2P search engine nk
utaona kuna sehemu ya kusearch,andika unachotaka kisha ukishaclick sehemu ya download basi moja kwa moja itafunguka kupitia ile bittorent na kuanza kudownload
 
umenisaidia kitu hapo maana mimi natumia torch kama browers. Unaweza kunipatia website ambayo nitaweza kudownload series mbalimbali kama blacklist n.k
 
click kwenye TV series utaona series zote current click serie unayotaka kudownload,ila km alivyosema mdau mmoja hapo juu download U/B torrent coz hiyo link downloads zake zimekuwa linked na torrents
 
asante ndugu
 
Back
Top Bottom