Msaada: Jinsi ya kutumia "Safaricom Simcard" hasa kwa upande wa M-Pesa

NASRI1

Senior Member
Aug 2, 2019
188
266
Habari za mchana wana JF.

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujua jinsi ya kutumia Safaricom simcard kwa upande wa:

1. M-pesa
2. Vifurushi ya Internet kununua kwa njia ya kawaida na M-Pesa.

Asante
 
Back
Top Bottom