Msaada: Jinsi ya kutumia Safaricom simcard hasa kwa upande wa M-Pesa

NASRI1

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
112
Points
250

NASRI1

Senior Member
Joined Aug 2, 2019
112 250
Habari za mchana wana JF.

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujua jinsi ya kutumia Safaricom simcard kwa upande wa:
1. M-pesa
2. Vifurushi ya Internet kununua kwa njia ya kawaida na M-Pesa.

Asante 🙏🏽
 

Forum statistics

Threads 1,390,818
Members 528,272
Posts 34,063,181
Top