Wanakuja mkuuSipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua inatolewa😅.
Kwenye series ya The Boys kacheza kama Homelander jitu fulani lenye Calmness Exterior na Ruthless Interior. Yaani anajifanya mwema kumbe gaidi balaa so nikwa na-relate jinsi anavyokosea kwenye kushabikia na jinsi asivyopendwa kwenye hiyo series.
View attachment 2458973
Cha ajabu nilivyojiunga tu sioni pa kukoment, kusoma komenti wala kuLike.
So naombeni mnijuze jinsi ya kukoment,kuona watu/Accs, kusoma Komenti etc..
Thenkyu
-Criston Cole
Hata mimi inanikera sana kila mara wanasuspend account yangu, inazngua sana.Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua inatolewa[emoji28].
Kwenye series ya The Boys kacheza kama Homelander jitu fulani lenye Calmness Exterior na Ruthless Interior. Yaani anajifanya mwema kumbe gaidi balaa so nikwa na-relate jinsi anavyokosea kwenye kushabikia na jinsi asivyopendwa kwenye hiyo series.
View attachment 2458973
Cha ajabu nilivyojiunga tu sioni pa kukoment, kusoma komenti wala kuLike.
So naombeni mnijuze jinsi ya kukoment,kuona watu/Accs, kusoma Komenti etc..
Thenkyu
-Criston Cole
😂😂😂😂🙆🙊Aliyekuambia mm kijana nani??
Tatizo English halafu maelezo marefu. Humu nitapewa kwa urahisi. Kumbe inaitwa Twitter?? Sio tweeterTwitter Help Center - wanayo majibu ya maswali yako yote?View attachment 2459007
Kikubwa ni kufollow guidelines na kuwa patient.
😂tutafika tu😂😂The heck with you??
Tulia Da'vinciWapi tutafika?
🙋Kwanini mnapenda kunihusisha na hiyo ID?
😎The fu$ck is Da'Vinci???
Easy come easy go Sir.Tatizo English halafu maelezo marefu. Humu nitapewa kwa urahisi.
Sawa mkuu.No thank you. Kwanza najiona mkiwa nikiwa huko.