Msaada;jinsi ya kutumia internal modem ya pc

Msaada;jinsi ya kutumia internal modem ya pc

BabaRita

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
444
Reaction score
249
Wadau nahitaji msaada kidogo kama nilivyonena hapo juu.Ninatumia Dell Latitude E5420 ina sehemu ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuunganisha iyo line ili nitumie kwa internet nimeshindwa,msaada please..!!
 
Wadau nahitaji msaada kidogo kama nilivyonena hapo juu.Ninatumia Dell Latitude E5420 ina sehemu ya kuweka line ya simu,nimejaribu kuunganisha iyo line ili nitumie kwa internet nimeshindwa,msaada please..!!

Tafuta driver scanner na uingize drivers zote then jaribu tena ...kama ikikugomea itakuwa mfu hiyo modem
 
hizo modem huwa hazifanyi kazi coz wanachofanya hawa jamaa ni kitu tunaita mass production. wanakuwa na specific laptops za kufunga hiyo sim slot na badala ya kutengeneza model mbili tofauti, wanaweka zote hiyo sim slot alafu wanaweka kwenye mashine chache hardware yake mle ndani (WWAN). ukiangalia kwa device manager haitakuwepo coz ni just a port, hardware hawajaweka. kama kuna hardware iliyoandikwa WWAN (na sidhani ipo) unaweka tu line na kutumia modem. vinginevyo, hiyo port haina maana
 
nanachosema leh ni sahihi kabisa, kuwa na sehem ya line haimaanishi kuwa na modem ndani yake, zipo dell nyingi sana hazina mashine yake(modem) ila zina sehem ya line..mi nimeshakutana na dell latitude nyingi sana za d630 zina sehem ya line lakini ni kama mbili tu ndo zilikuwa na modem yake na ilikuwa hata ukienda kwenye device manager tu unaona ile missing driver...so kupata uhakika angalia kwanza kwenye device manager kama kuna any missing driver au kama ni mtaalamu wa kufungua pc waweza fungua cover ya nyuma na kucheck kama kuna hardware ya imeandikwa WWAN..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom