Msaada jinsi ya kutumia "En" input method kwenye simu ndogo

Pastory Kimaryo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
967
Reaction score
672
Jamani naomben msaada nina shida na hiki kisimu changu itel 2173, nilivyokinunua nilidhani ningepata wepesi kwenye upande wa meseji kumbe mambo ndivyo sivyo.

Nikienda kwenye meseji input method inayotokea kwanza ni hiyo hapo "En" na siwez kuitumia na nikijaribu kuiweka kawaida inanibid nichukue mlolongo mrefu kidogo which actually feels cumbersome so naomben kwa anayejua jinsi ya kuiset input method ya kawaida "Abc" kwa urahisi anisaidie au/na pia kwa anayejua jinsi ya kutumie hiyo input method ya "En" pia anifundishe huenda hiyo ndio nzuri.View attachment 1977027
IMG_20211017_071138.jpg
 
ukibinya # nini kinatokea wakati unataka kuandika???
Ndio inatokea list ya input methods sa mi nataka niprioritize nikitaka kuandika input method ya kawaida ndio iwe default au mtu anifundishe jinsi ya kutumia hiyo ya "En" maana nimehangaika hadi youtube lakin hawazungumzii hii kitu
 
"En" mode inawezesha (ina Activate) prediction ya maneno ya kiingereza.
Kwa mfano unapowasha "En" halafu ukabonyeza button zifuatazo:
9, 2, 8, 3, 7 utakuwa umeandika neno Water .
Kumbuka hapo kila button umeibonyeza mara moja tu.

Mwanzoni ukianza kuandika itatokea neno tofauti lakini utakapomalizia button ya mwisho, litakuja neno sahihi "Water".

Yaani ukibonyeza 9 itakuja W,
Ukibonyeza 2 itakuja A,
Ukibonyeza 8 itakuja T,
Ukibonyeza 3 itakuja D,
Ukibonyeza 7 itakuja P, Lakini ghafla itabadilika na kuwa R. na wakati ile D itabadilika na kuwa E.

Kwa hiyo WATDP itakuwa WATER.

---------+++---------+++++-------

Ukitaka kuandika neno FATHER.

Bonyeza 3, itakuja D
Bonyeza 2, itakuja A
Bonyeza 8, itakuja T,
Bonyeza 4, itakuja G
Bonyeza 3, itakuja D,
Bonyeza 7, itakuja R Badala ya Q.
Na neno zima litabadilika na kuwa FATHER badala ya kuwa DATGDQ
 
Nilikuwa napenda sana kutumia Sw kwenye nokia. Yaani ukiijulia unaandika msg fasta spidi karibu sawa na keybord ya computer, yaani kila button unadonoa mara moja tu then yenyewe inakisia neno ulilodhamiria kuandika.
 
Dah itabid utuelekeze vizuri hapa
 
"En" mode inawezesha (ina Activate) prediction ya maneno ya kiingereza.
Kwa mfano unapowasha "En" halafu ukabonyeza button zifuatazo:
9, 2, 8, 3, 7 utakuwa umeandika neno Water .
Kumbuka hapo kila button umeibonyeza mara moja tu.

Mwanzoni ukianza kuandika itatokea neno tofauti lakini utakapomalizia button ya mwisho, litakuja neno sahihi "Water".

Yaani ukibonyeza 9 itakuja W,
Ukibonyeza 2 itakuja A,
Ukibonyeza 8 itakuja T,
Ukibonyeza 3 itakuja D,
Ukibonyeza 7 itakuja P, Lakini ghafla itabadilika na kuwa R. na wakati ile D itabadilika na kuwa E.

Kwa hiyo WATDP itakuwa WATER.

---------+++---------+++++-------

Ukitaka kuandika neno FATHER.

Bonyeza 3, itakuja D
Bonyeza 2, itakuja A
Bonyeza 8, itakuja T,
Bonyeza 4, itakuja G
Bonyeza 3, itakuja D,
Bonyeza 7, itakuja R Badala ya Q.
Na neno zima litabadilika na kuwa FATHER badala ya kuwa DATGDQ
Sasa hii inaweza kupredict maneno ya kiswahili kweli
 
Kuna namba nimebonya bonya hapa imekuja SABAYA....
 
Back
Top Bottom