Msaada jinsi ya kutuma SMS maalumu

Gendaheka

Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
31
Reaction score
15
Habari zenu wanajamvi najua humu kuna wadau wengi kwenye sekta ya IT mimi ninahitaji kupata ujuzi wa jinsi ya kutuma ujumbe kama ule wa TIGOPESA au Halotel yani zile jumbe zinazokuja na jina halafu hazina namba nahitaji kujua napataje huduma hiyo kwa ajiri ya biashara yangu kuongeza vionjo kwenye kikampuni changu,Natanguliza shukrani za dhati wakuu nategemea majibu mazuri kutoka kwenu.
NAWASIRISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…