Msaada: Jinsi ya kutuma SMS kwa watu wengi kwa mkupuo

Njema kabisa

JF-Expert Member
May 25, 2015
699
237
Nitaweza vp kutuma msg/sms kwa watu zaid ya hamsin kwa mkupuo? Nisaidien kwa anaejua. Thanks.
 
Inategemea aina ya simu. kama ni ile ya elfu tano sio rahisi
 
Unapokua unatuma meseji mpya pale juu kabisa kwenye Send to ......... Upande wakulia kunakua na alama ya + click hiyo alama itakuruhu kuingeza namba za receiver!?
 
Just create a group from your contacts-most basic phones can do this, even Nokia 1100. Then just send your sms to the groupname and all groupmembers will get it. This option is useful if you are intending to send messages regularly.
 
Kuelekeza buku jero!!

Kwa simu hiyo pale unapocreate new message, kwenye text box ya kuingiza namba ya simu, bonyeza button ya '+' kuongeza receivers kutoka kwenye phone book.

Kama namba hazipo kwenye phonebook, unaweza kutumia CSV - Comma-Separated Values. Ingiza namba ukizitenganisha kwa mkato ','. Pia unaweza ukaiandika hii CSV kwenye text editor kama app ya Notes na kuipaste pale.
 

Ahsante mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…