Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 237
Nitaweza vp kutuma msg/sms kwa watu zaid ya hamsin kwa mkupuo? Nisaidien kwa anaejua. Thanks.
Umeanza kutumia simu lini mkuu?
Unatumia simu ya aina gani!?
Inategemea aina ya simu. kama ni ile ya elfu tano sio rahisi
Nitaweza vp kutuma msg/sms kwa watu zaid ya hamsin kwa mkupuo? Nisaidien kwa anaejua. Thanks.
Unapokua unatuma meseji mpya pale juu kabisa kwenye Send to ......... Upande wakulia kunakua na alama ya + click hiyo alama itakuruhu kuingeza namba za receiver!?
Zaidi ya hamsini si utachoka mikono!!!
Hapo nakushauri utucheki tukupe bulk SMS service
wazee wa fursa
Umeanza kutumia simu lini mkuu?
Usuikalili kama other marking option ya simu nyingine inavyokuwa easy, on some android mostly uki mark contact zaidi ya moja unabadilika kuwa MMS.
Kuelekeza buku jero!!
Kwa simu hiyo pale unapocreate new message, kwenye text box ya kuingiza namba ya simu, bonyeza button ya '+' kuongeza receivers kutoka kwenye phone book.
Kama namba hazipo kwenye phonebook, unaweza kutumia CSV - Comma-Separated Values. Ingiza namba ukizitenganisha kwa mkato ','. Pia unaweza ukaiandika hii CSV kwenye text editor kama app ya Notes na kuipaste pale.