Unataka kuelezwa jinsi ya kutuma private message?
Hapo chini kuna sehemu imeandikwa (send PM)anzia hapo then mengine utayafahamu baadae.
Shit!!!!!Asante sana ngoja nijaribu mamaaa!!!!
Shit!!!!!
We nani kwambie mie ni "K"?
Kama huna uhakika na jinsia ya mtu then tumia "MKUU"
haa haa hah pole sana mkuu naona amechanganywa na avatar yakoShit!!!!!
We nani kwambie mie ni "K"?
Kama huna uhakika na jinsia ya mtu then tumia "MKUU"
haa haa hah pole sana mkuu naona amechanganywa na avatar yako
Na mimi pia nasubiri jibu hapa
Yes ma lovely mom!!!
Mkuu jibu toka kwa nani mkuu?????
Mhhhhh????makubwa
Revised!!!!
Pooolee sana mkuu!!
naona leo nataka kuharibu Lunch za watu humu,
sameheni bure no way out imeshatokea.
Umeishaharibu ila poa usijali