Msaada: Jinsi ya kutuma maombi NECTA

Jaman naombeni mnisaidie mm pia Ni miongoni mwaniliotuma pesa nacte lkn nkifanya kuaply wanakataa nahela ndo tiali washachukua na code no walinirudishia sasa wwwsa nashindwa kuelewa nn tatizo na katika milolongo ya kuomba kuna maneno yanazingua kwan yanahitaji namba iixhie 15 naisipite maneno hayo Ni haya(how many o level seats do you have? ) msaaada nnawaombeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…