Umeshatuma pesa kwenda Nacte ?Asante naomba mongozo
Wapi ambapo umeshindwa sasa ?Ndio mkuu
Ukishakosea kutuma pesa huwa hairudishwi na Nacte tafuta pesa tuma upya unless utachelewa tuPale kwenye lipa kwa M-PESA nilitumia kwa company sasa corfimatio. Cord cjapata ndo nikajua nmebugi mkuu
Ingia mpesa *150*00# bonyeza na 4 pay for mpesa then bonyeza enter business number then endelea unachoshindwa nini ? Wakati kwenye Nacte guidebook wameelekeza na wamekuwekea business numberSawa kwa hiyo pale hulipi kwa company sio
Sawa mkuu inabidi nifike hadi Huduma za kielimu pale sio mkuu c unajua mala ya kwanza mkuu ila nakushukuru mkuuIngia mpesa *150*00# bonyeza na 4 pay for mpesa then bonyeza enter business number then endelea unachoshindwa nini ? Wakati kwenye Nacte guidebook wameelekeza na wamekuwekea business number
msaada hadi now NACTE WANAPOKEA MAOMBI YA VYUO AUSawa mkuu inabidi nifike hadi Huduma za kielimu pale sio mkuu c unajua mala ya kwanza mkuu ila nakushukuru mkuu
Yap mpaka tar 6/3/2017 ndiyo mwisho wa kutuma maombmsaada hadi now NACTE WANAPOKEA MAOMBI YA VYUO AU
Pale kwenye lipa kwa M-PESA nilitumia kwa company sasa corfimatio. Cord cjapata ndo nikajua nmebugi mkuu