Msaada jinsi ya kutrack laptop iliyoibiwa

yang

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
733
801
Siku sio nyingi zimepita nimeibiwa laptop na external hard disk. So mpaka sasa data zangu muhimu nyingi zimepotea.
Naomba kufahamu kama kuna njia ya kutrack hii laptop ingawa sikumbuki IP address.

Msaada wenu wakuu ili niweze kupata data zangu
 
pole sana mkuu, ila isahau tu labda uyo mwizi aamuwe akuletee mwenyewe

nb: hata ungekua na iyo IP sijui MAC , isingesaidia
 
pole sana mkuu, ila isahau tu labda uyo mwizi aamuwe akuletee mwenyewe

nb: hata ungekua na iyo IP sijui MAC , isingesaidia
Braza ungeuliza aina ya laptop kabla hujatoa jibu la jumla.

Kuna laptops zinatengenezwa SA security yake ni kama Mac. Nililetewa ilikua na Windows 10 so natakiwa nipige chini hiyo Windows.

Inagoma kuboot kivyovyote mpaka uingize password ya User.

Inagoma kuireset.

Na inakupa onyo.
 
Laptop ukitaka kudhibiti weka password kwenye BIOs na Windows na hard disk. Vinginevyo maumivu tu. Mie sio mtaalamu ila naamini ukidhibiti hivyo vitatu angalau utazuia data kuonekana kwa mwizi wako.
 
Braza ungeuliza aina ya laptop kabla hujatoa jibu la jumla.

Kuna laptops zinatengenezwa SA security yake ni kama Mac. Nililetewa ilikua na Windows 10 so natakiwa nipige chini hiyo Windows.

Inagoma kuboot kivyovyote mpaka uingize password ya User.

Inagoma kuireset.

Na inakupa onyo.
mtoa mada anaongelea kuhusu kui 'track', kwa kutumia ip/mac address
 
Hanna njia because to ping(track) an IP inatakiwa PC iwepo online na cdhani huyo mwizi at iweka online ...... So sorry no way to get it unless atumie files zako and somehow itakusaidia..
 
Siku zote kutrack kitu inabidi uwe umeset kabla haikijapotea hiko kitu, kikipotea inakuwa ngumu kukipata kama hukufanya juhudi kabla.
 
Back
Top Bottom