Msaada jinsi ya kutengeneza user generated content website

Msaada jinsi ya kutengeneza user generated content website

happyrozo

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
53
Reaction score
27
naomba kwa yeyote mwenye idea ya kutengeneza website ambayo ni user genereted content kma vile amazon,jf,instagram na fb anisaidie
 
so unadil na javascrpt 2 au kna v2 vngne,ningeomb kueleweshwa vzur
 
so unadil na javascrpt 2 au kna v2 vngne,ningeomb kueleweshwa vzur
Unatakiwa ujue vitu hivu

Html

Css

Javascript/jquery (or anyother suitable JS framework)

Php/python/ruby (plus one of their frameworks)

Sql (and any database)

NB: alafu jifunze kuandika vizuri
Ukiona huwezi ajiri mtu akufanyie kazi
 
Kwa jinsi alivyo uliza swali lake ni bora akajifunze kuhusu wordpress atafanikiwa kirahisi.

Kusema akatengeneze ya kwake from scratch atatumia muda mrefu mno tena kukiwa na technical flaws kibao hasa security wise na performance.
 
Unatakiwa ujue vitu hivu

Html

Css

Javascript/jquery (or anyother suitable JS framework)

Php/python/ruby (plus one of their frameworks)

Sql (and any database)

NB: alafu jifunze kuandika vizuri
Ukiona huwezi ajiri mtu akufanyie kazi
 
anha nashukuru kaka ila cjakuelewa kwnye ile NB yako ulvo sema kuandika vizuri maana yake nin
 
anha nashukuru kaka ila cjakuelewa kwnye ile NB yako ulvo sema kuandika vizuri maana yake nin
so unadil na javascrpt 2 au kna v2 vngne,ningeomb kueleweshwa vzur
Angalia hiyomaneno niliyo mark kwa rangi nyekundu. Utakuja kukosa msaada mahalikwa uandishi mbovu kama huu.
 
how to make a wordprpress najua bt izo scprt ndo tatzo
 
naomba kwa yeyote mwenye idea ya kutengeneza website ambayo ni user genereted content kma vile amazon,jf,instagram na fb anisaidie
haya mambo yanahitaji ujuzi kama unaona uko shallow wape wajuzi wafanye hiyo kazi
 
Back
Top Bottom