Msaada jinsi ya kutengeneza DVD za collection | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kutengeneza DVD za collection

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by nxon, Aug 28, 2012.

 1. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  nawasilisha wadau mwenye ujuzi na haya mambo
   
 2. leh

  leh JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  burning dvd movies is easy. all you have to do is have a burning software (kama nero vile) na movies in the right format <-- hapa ndo mziki ulipo. burnable movie formats include but are not limited to .mp4, .vob and .avi. to get movies in these formats, you need a video editing software (mfano Nero Vision Express CE)

  so kwa kifupi unahitaji
  1. movies (duhhhh!! :biggrin:)
  2. video editing software (mfano divxtodvd)
  3. burning software (mfano nero)
  4. dvd rom
  5. empty dvd (haha)
   
 3. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  sasa mkuu kwakutumia hii njia naweza tengeneza dvd movie ambayo inaonesha menu kama video background na video slides ambazo unachagua ni movie gani nataka niangalie?
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  mi nimejaribu njia yako leh long time hadi hivi karibuni ila nakwama sehemu moja unakuta movie ina mb 400 lakini ukiiconvert kwenda kwenye dvd inachukua gb 1.5 matokeo yake nashindwa eka movie nyingi

  Muuliza mada software za kutengeneza menu kuconvert kwenda dvd na kuburn zipo nyingi ila mimi naipenda aimersoft dvd creator ina kila kitu na menu nzuri na utaweza import zako

  Link ya kudownload

  Aimersoft DVD Creator 2.5.2.15 (download torrent) - TPB
   
 5. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hv hapo ita kukost dvd ya gb ngap mpaka kuweka muvi 9, menyu yake na subtitle za kuchagua! Then na kama lile tangazo la blue ray disk unaweka vp?.. Naomba mnielekeze
   
 6. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,219
  Likes Received: 8,293
  Trophy Points: 280
  mimi natumia adobe encore.hii software ni bora sana ktk ku-burn dvd.hai-compress sana kama software nyingine.the video is burnt with its original quality.ila kazi kubwa ipo ktk ku-design custom menu.itakubidi uifanye kazi hiyo photoshop au illustrator na ku-sarve project kama PSD file.then una-import ktk adobe encore.ukishindwa hayo maujanja unatumia templates menus ambazo huja sambamba na adobe master collection.
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  What i know unaposema bluray ni kama unasema dvd, au vcd bluray ni aina ya cd yenye capacity kubwa ie gb50 na zinauzwa bei kubwa sana

  Ila nnavowajua wachina zile cd hawajanunua bei ghali ndo hizi hizi za buku na jero sjajua nini kipo nyuma ya technology yao.
   
 8. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  DVD features nyingi kwenye disc moja hushusha quality!
   
 9. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Chezea mchina wewe one DVD collection ina movie 9 halafu inauzwa buku, wakati empty DVD yenye single layer na 4.7GB tunanunua buku hiyohiyo, hapo tu HUNHG'AA ndo wananiacha hoi
   
 10. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hapo nmekupata mkuu! Sasa Lle tangazo la blue ray disk kabla ya menyu huwa lnawekwa vp
   
 11. nurbert

  nurbert JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,925
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mchina mwizi sana! Angalia now mpaka zle radio znazokuaga na stereo tuu bila tapes, kaweka sehemu ya flash na mmc, hapo unahs album ztauza kweli! Coz hapo mm ntakua natoa mmc ya kwenye cmu naichomeka. Nkiskilza narudishaa,...
   
 12. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #12
  Aug 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,760
  Likes Received: 7,045
  Trophy Points: 280
  Lile kueka sio tatizo kama utapata clip yake maana itakua ni kama video inaplay then inakuja menu.
   
 13. leh

  leh JF-Expert Member

  #13
  Aug 29, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  chief-mkwawa, nxon, NingaR, nurbert na anybody else, kama chief alivyosema, most movies ukiconvert ziwe kwa mfumo ambao utacheza kwa DVD, the size goes off the charts. hii ni kwa sababu most downloaded movies zinakuwa compressed and encoded ili kuhifadhi quality while minimizing size
  codecs ni jinsi video inakuwa imefungwa (kuna video codecs na audio codecs) ili iweze kuwa identified kama video. kuna aina nyingi za codecs, the most popular being divx for video and mp3 for audio. hizi codecs zenyewe zinakuwa na multiple types for quality na size. generally, the better the quality, the bigger the size.
  hivi basi, ukitaka kufanya kama movie saba into one dvd, utahitaji kucompress your movie kwa kutumia codecs ambazo zina poteza quality kidogo. kuna programs nyingi out there zinazofanya hii kazi, ila my favorite (because its easy and open-source) ni handbrake
  ninapost na link ya guide ya kutumia handbrake, kwa yeyote interested. mi hapa naitumia almost every day kubana kazi zangu na natumia codec moja inaitwa Matroska, as ndo the best in terms of kuhifadhi quality and quantity, ila ubaya ni kuwa haichezi on dvds au dvd player usb, ila kwa kuhifadhi quality kwa size ndogo hamna mfano

  lastly niwambie kwamba handbrake au any video compressing software out there ni program nzito na kama mashine yako sio powerful, utachukua forever to compress any movie
  (natumia core2duo ambayo nime overclock na movie ya kawaida takes around 30mins to compress into .mkv), kama your PC can't handle recent games, usijaribu tumia handbrake, na wenye laptops ndo kabisaaa

  regards, leh
  [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. leh

  leh JF-Expert Member

  #14
  Aug 29, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  edit: nimeweka link ya handbrake na guide yake hapo juu. kuhusu kutengeneza menu, kuna programs kibao, ila mie hapa natumia Nero Vision (mazoea tangu zamani) au Adobe Encore DVD kama mkuu hapo juu kadoda11, ila hiyo style ni for advanced designers kama Young Master, MtotoSix, leh, chief-mkwawa na kadoda11 :biggrin:

  nero vision ni nzuri pia (i use it more often) ila lazima uwe na nero vision (not vision essentials au vision SE) kuweza kutengeneza vitu kama 3d menus na kwa mazoezi kidogo unaweza tengeneza excellent menu titles
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #15
  Aug 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  For DVD menu unaweza kuanza kujifunza na convert x to DVD but for better results unaweza kutumia kama aliyoelekeza hapo mheshimiwa leh au unaweza kutumia Womble Easy DVD, Sony DVD Architect, AVS DVD Authoring, TMPGEnc DVD Authoring n.k
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...