mi nashangaa why mtu akitaka ufahamu wa utengenezaji wa vitu nyeti kama hivyo anahisiwa vibaya sasa huko mashuleni wanafunzi wanafundishwa sayansi ili iweje? au watanzania wote tuwe wanamuziki? tuondoeni fikra mbaya wakuu I love tanzania, i love teknology