EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,675
- 2,115
WAKUU mmebarikiwa sana na Mwenyezi Mungu.
Jamani nipo kwenye mchakato wa kusajiri kampuni shida niliyokutana nayo brela online kila nikiandika jina la kampuni inaniambia nimekosea jina la kampuni sijajua nakosea nini maana jina ni jipya na wala halifanani na jina lingine naombeni msaada wenu wazoefu wa kazi hii
Jina la kampuni nalosajiri naliandika hivi ...... GENERAL TRADING LIMITED. Je kuna kosa gani hapo ndugu zangu.
Najua hizi ni kazi za watu wanaingiza kipato bt mi naomba kusaidiwa hapo tu nijue nakosea nini.
Asanteni.