MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,507 Reaction score 4,935 May 11, 2024 #1 Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi? NB: zikishawekwa hazirudi kama zilivyokuwa (zinakuwa round zikiwa mpya, then zinafyatuka kuwa hema ila kurudishia kuwa round baada ya kuwa hema ni ngumu)
Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi? NB: zikishawekwa hazirudi kama zilivyokuwa (zinakuwa round zikiwa mpya, then zinafyatuka kuwa hema ila kurudishia kuwa round baada ya kuwa hema ni ngumu)
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,988 Reaction score 50,112 May 11, 2024 #2 MwananchiOG said: Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi? View attachment 2987495 Click to expand... Kama ilivyo wekwa hapo kitandani ndivyo inavyo tolewa kwa ajili ya kusafishwa. Sasa swali lako inasafishwaje? Sioni mantiki ya hilo swali
MwananchiOG said: Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi? View attachment 2987495 Click to expand... Kama ilivyo wekwa hapo kitandani ndivyo inavyo tolewa kwa ajili ya kusafishwa. Sasa swali lako inasafishwaje? Sioni mantiki ya hilo swali
Jumlisha JF-Expert Member Joined Jul 10, 2022 Posts 2,137 Reaction score 4,273 May 11, 2024 #3 unachoma unanunua mpya simple tu
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,319 Reaction score 83,201 May 11, 2024 #4 Hapo kuna angle zake unazifungua then inabaki neti as neti , unaenda unafua simple
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,957 Reaction score 194,010 May 11, 2024 #5 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw