CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Habari wadau wa Technology....
Mpaka sasa mwenzenu sijapata usingizi sababu ya kutafuta pictures nilizodelete kwa bahati mbaya katika simu aina ya blackberry Z10.
Nikitafuta kwa kutumia Usb cable kwenye Computer naziona ila nikitafuta direct kwenye simu sizioni....
Msaada wadau, maana ni picha nyingi na za kumbukumbu za muhimu sana....
Asanteni