Msaada jinsi ya kurudisha account ya WhatsApp

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,363
1,752
Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.

Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa mtu itolewe password wakashindwa wakaiharibu kabisa. Jna nilisajili card mpya za simu na kuinstall upya apps kama whatsapp, jf na nk.

Sasa naomba msaada nataka niipate account ya whatsapp ya ile namba iliyopotea na magroup yote.
 
Ina mda gani toka ipotehe
 
Nimejaribu lakini wanataka code ya verification, ambayo inatumwa kwa hiyo namba
Install wasapu,tumia ile namba ya mwanzo uliyosajilia,kila kitu kinarudi,ila hutapata sms picha,videos na vingine.Pia groups zote zinarudi
 
Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.
Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa mtu itolewe password wakashindwa wakaiharibu kabisa. Jna nilisajili card mpya za simu na kuinstall upya apps kama whatsapp, jf na nk.
Sasa naomba msaada nataka niipate account ya whatsapp ya ile namba iliyopotea na magroup yote.
Impossible.. move on.
Unless ka renew namba ya mwanzo
 
Kuna kitu kinaitwa backup ukisha download kuna option inakuja ya kubackup inatumia dakika kadhaa,
Usipo fanya hivo videos, picha na pia meseji zako za nyuma havitarudi
Install wasapu,tumia ile namba ya mwanzo uliyosajilia,kila kitu kinarudi,ila hutapata sms picha,videos na vingine.Pia groups zote zinarudi
 
Kuna kitu kinaitwa backup ukisha download kuna option inakuja ya kubackup inatumia dakika kadhaa,
Usipo fanya hivo videos, picha na pia meseji zako za nyuma havitarudi
Anabackup nini sasa na simu haina kitu. Hiyo option inaitwa "restore" siyo backup.
 
Habarini ndugu. Jumamosi ya tar 06.07.2019 niliangusha simu yangu na ikaokotwa na mwanafunzi wa shule ya sekondari fulani, kijana alitu pa simu cards zote akaenda kuuza kwa mtu ambaye mie ninamfahamu so simu nikaiona kwa jamaa.
Sasa jana nilieenda mjini Mwanza kuiflash maana dogo alipeleka kwa mtu itolewe password wakashindwa wakaiharibu kabisa. Jna nilisajili card mpya za simu na kuinstall upya apps kama whatsapp, jf na nk.
Sasa naomba msaada nataka niipate account ya whatsapp ya ile namba iliyopotea na magroup yote.
Yaan n hv,,, ukitaka account yako irudi n lazma ujisajili kwa namba ile ile ya kwanza ,,,sasa kama imepotea n lazma uka renew
 
Back
Top Bottom