hivi kuroot ni kufanyaje
nimekuwa nikitafuta sana njia ya kuroot lakini nimeshindwa, ikiwa yeyote anajua jinsi ya kuroot HUAWEI ascend y200 naomba anielekeze
wadau naomba msaada jinsi ya ku-reboot laptop, kuna driver ya display imafail kwa hiyo inanipa ujumbe ku-reboot system