MSAADA: Jinsi ya kupokea mzigo kutoka USA

Apr 21, 2020
65
79
Wakuu habari,

Naomba kueleweshwa namna ninayoweza kupokea mzigo kutoka Marekani kupitia njia za ndege au maji.

Kiufupi kuna rafiki yangu huko amesema nifuatilie then nimjuze ili anitumie package ndogo tuu hadi hapa Bongo.

Humu najua kuna wazoefu na hivyo natanguliza shukrani zangu za dhati.

Nilipo nipo Bukombe, Geita.

Asante
 
Kama ni ndogo tumia posta utaletewa mpaka hapo Bukombe.kumbuka posta mwambie atumie huduma ya Air. Huduma hii ni rahisi kwa gharama Ila si Salama sana hasa ikishafika huku kwetu. Otherwise tumia Dhl Ila ni gharama sana Ila salama na haraka kukufikia .
 
Shukrani mkuu
 
Kwa sababu ya korona, posta kwa sasa hawashughuliki na vifurushi vyavkutoka Marekani. Dhl au FedEx ndio njia pekee.
 
Back
Top Bottom