K KABIDI BODO Senior Member Joined Jan 19, 2017 Posts 187 Reaction score 259 Aug 24, 2018 #1 Wakuu naombeni anaefahmu namna ya kupata VISA ya Panama maana hawana ubalozi nchini kwetu Tanzania
G'taxi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 6,655 Reaction score 8,708 Aug 24, 2018 #2 Ni vyema kufika wizara husika na kuuliza taratibu zikoje,nadhani ni wizara ya mambo ya nje
K KABIDI BODO Senior Member Joined Jan 19, 2017 Posts 187 Reaction score 259 Aug 24, 2018 Thread starter #3 G'taxi said: Ni vyema kufika wizara husika na kuuliza taratibu zikoje,nadhani ni wizara ya mambo ya nje Click to expand... Asante mkuu, nitafanya hivo
G'taxi said: Ni vyema kufika wizara husika na kuuliza taratibu zikoje,nadhani ni wizara ya mambo ya nje Click to expand... Asante mkuu, nitafanya hivo