Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,473
- 5,274
Salamu zenu wote,
Siku ya tarehe 12 january 2017 niliibiwa simu(Sonny Experia) yangu na vijana wa Bodaboda maeneo ya Sinza, kesho yake tarehe 13 niliripoti polisi lakini hadi hivi leo bado nazungushwa tu kila nikienda mara mpelelezi hayupo..mara nini, yaani hata sielewi!
Naomba msaada kwa yeyote anaeweza kunisaidia njia rahisi ya kumkamata mtu anaetumia simu yangu(Kama bado inatumika) imei nnazo pamoja na risiti. Polisi wamenikatisha tamaa sana.
Natanguliza shukrani,
Asanteni.