Hii njia ishaexpire,Mtandao gan???
VODA piga huduma kwa wateja au andika PUK then namba yako ya simu kisha tuma kwenda 123
Kama line husika huna,hizo PUK za nini sasa?,unataka puk wakati line haiko kwenye upatikanaji ikusaidie nini sasa?,Naomba msaada wa jinsi ya kupata puk namba maana nimeomba visa wanifungulie simu wameomba namba 17 nyuma ya laini wakati sina naomba mwenye utaalam wowote wa kufungua simu anisaidie ninayoishi hamna boda shop
Wapi slim5Njoo uchukue huku
kama hauna namba 17 za nyuma ya laini hizo PUK huwezi kupataNaomba msaada wa jinsi ya kupata puk namba maana nimeomba visa wanifungulie simu wameomba namba 17 nyuma ya laini wakati sina naomba mwenye utaalam wowote wa kufungua simu anisaidie ninayoishi hamna boda shop
Anapata akiwapgia mimi last week nimepewakama hauna namba 17 za nyuma ya laini hizo PUK huwezi kupata
Ova
poa ngoja ajaribu ila mimi walinigomeaAnapata akiwapgia mimi last week nimepewa
Ila kweli inategemea na aliyepokea simu maana wale customer care wana visrani.poa ngoja ajaribu ila mimi walinigomea
angalia nyuma ya pain kuna mamba kama zipo nitumie.Naomba msaada wa jinsi ya kupata puk namba maana nimeomba visa wanifungulie simu wameomba namba 17 nyuma ya laini wakati sina naomba mwenye utaalam wowote wa kufungua simu anisaidie ninayoishi hamna boda shop
Unapata as long as line ni ya kwako una information zotekama hauna namba 17 za nyuma ya laini hizo PUK huwezi kupata
Ova
Kumbe ww unatumiaga njia kama yangu, hongera bana,,, hata mimi uwa nawasiliana nao fb kupitia messenger wako faster sana kujibu, nakumbuka mwaka jana nilisajili laini mpya ya voda afu nataka niiunge na University Offers afu co mwanachuo tena kitambo, ila nina kitambulisho sinikawatext wakanambia tutumie screenshot ya usajili wangu na picha ya kitambulisho cha chuo afu niwatumie inbox, sikuamini wakanambia ombi limeshafkishwa idara husika and after one week laini ikawa activated na UNI offer....Ila kweli inategemea na aliyepokea simu maana wale customer care wana visrani.
Halafu mimi wala sikupiga simu niliingia fb kwenye page yao nikatuma sms ndivyo uwa nafanya nikiwa na shida iwe voda au tigo uwa sipigi simu nawasiliana nao fb via inbox wanajibu faster tu
Duh unafaidi wakat siyo mwanachuo we noma.Kumbe ww unatumiaga njia kama yangu, hongera bana,,, hata mimi uwa nawasiliana nao fb kupitia messenger wako faster sana kujibu, nakumbuka mwaka jana nilisajili laini mpya ya voda afu nataka niiunge na University Offers afu co mwanachuo tena kitambo, ila nina kitambulisho sinikawatext wakanambia tutumie screenshot ya usajili wangu na picha ya kitambulisho cha chuo afu niwatumie inbox, sikuamini wakanambia ombi limeshafkishwa idara husika and after one week laini ikawa activated na UNI offer....
Hahahaa, nshagamaliza chuo muda kidogo, so vile vifurushi vya UNI ni vizuri sana, just imagine kama huna laini ya chuo, kwa 500/= unapata MB 70,,,,lakini ya chuo kwa iyoiyo 500/= unapata MB500, tena kwa siku 7....Duh unafaidi wakat siyo mwanachuo we noma.
We uko fasta sana