Hi!nmekuwa natafuta program ya 1.kutengeneza ka2ni 2.kutengeneza card jwa muda mrefu bila nafanikio naombeni msaada

Kadi you mean business card au makadi ya harusi na valentine day?
poa ngoja nizitafute ntakuja na fdback thanxtumia adobe after effects for cartoon, kadi unaweza tumia photoshop na illustrator ila itahitaji uwe unajua kutumia maana kama hujui utaona kama haiwezekan
Kama unazo msaidie.........ya katuni nnayo ni dolar 150
Msaidie Mkuu....kama wataka photoshop, illustrator, after effects cs6 ncheck nnazo mm
Msaidie Mkuu....
Ila sio tena kuombana viji senti.
Tunasaidiana
na wala hapa ........
Hatuuziani
Kadi you mean business card au makadi ya harusi na valentine day?
CAN SOMETHING LIKE THIS BE DONE BY THOSE MENTIONED ANIMATION PROGRAMS up There
SOMEBUD SPEAK UP PLZ
please. kaka bado hujaona vi2 vinavyofanywa na Maya, niliipata but ilikua trial hii software ni halali kuuzwa 2000$. Blender can do something close 2 dat nd its free(bonus) ngoja nikakuletee sample za blender kaka