msuyaeric
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 842
- 1,188
Habari wakuu.. naomba msaada nina page yangu Facebook ambayo iko update muda wote, pia mpka Sasa ina like 500+ na wanazidi kuongezeka siku adi siku, pia people reached wanafika 10000+ kwa kila post nayo post kwa muda huo..
Hivyo wakuu kutokana na Hali ya maisha kuwa ngumu na Bado ni mwanafunzi nimeamua kujiongeza jinsi gani naweza kujiongoza mwenyew na ndipo nilipopata wazo la Facebook page yangu inaweza kuniingizia pesa..
Msaada: nawezaje kutengeneza pesa kupitia Facebook page?